Do not miss Diamond Jubilee leo ijumaa, Jumamosi na Jumapili hii... kiingilio Bure... kila bibi harusi na bwana harusi au mdau wa harusi pitia uone vitu mbalimbali vya harusi vya kila aina...kuanzia mahotel, cards, dresses, wapiga picha etc
Banda letu la Brides Alya limetengenezwa na kupambwa vizuriiiiii na Dada Monica.. aka Special occasions...
wapambaji wa kistaaraabu na keki tamu zaidi na za kistaarabu zaidi in Dar
baadhi ya kazi zao ni pamoja na Melissa and Harris Brides- Keki na mapambo: Venue Moven Pick
Martha Nnko and Joseph Brides
Gladys Brides- cake
Gladys Brides ilipambwa na Sophy nitawawekea aina zake na mapambo yake soon...pia ni Brides planner
Stella and Eliud's Cake
Wanapatikana mjini NSSF building opposite CBE pia branch yao nyingine Kimweri Avenue Msasani kama unaelekea CCBRT
Wapigie Simu -Special Occassion's namba 0754 404 733
You have read this articleBrides Alya /
Harusi Trade Fair
with the title Harusi Trade Fair is Here!!. You can bookmark this page URL http://thesearchingbride.blogspot.com/2012/03/harusi-trade-fair-is-here.html. Thanks!
Write by:
Unknown - Friday, March 30, 2012
Comments "Harusi Trade Fair is Here!!"
Post a Comment